Amerudi alfajiri akivuja manii

Kama ulishawahi kuambiwa anaumwa na tumbo sana mpaka simu haipokelewi ujue unaibiwa. Imeshanitokea nikagundua kwa kufumania picha kwenye dumpster( niliinstall kwenye simu bila yeye kujua)
 
Ina maana jamaa alikula pekupeku? Aisooo,pole zake
Kujitangaza muumini wa ndom ni unafiki.
Kila taasisi za umma kwenye mageti yao pembeni kuna mabox ya bure.
Kila dispensari ama kituo cha afya ni za kuchota kujaza ukubwa wa mfuko wako.
Je makliniki yanavyotema masaa24 hadi wazazi kulazwa chini kwa kukosa vitanda, ndom zinatumika kweli? Tumezoea kulaani vitu tunavyovipenda na kuvihusudu.
Sasa mtu wa aina yako anayesimama hadharani kushangaa jamaa kuchuna ngozi bila kisu, elewa yeye ni team kavukavu, ijapo zinakuwaga ni mbichi.
 
Utungaji mzuri
Sema umekosea kuweka mashiko ili ionekane angalau ya ukweli
 
Acheni kutujazia server kwa story zenu zisizo na flow ya kueleweka! Narration yoyote ili ilete uhondo uliokusudiwa ni lazima iandaliwe kwa kufuata principle zake! Tupende kushirikisha professionals kabla ya ku-publish!
Usipende kuamini kila uwazalo lipo sahihi. Jaribu kushirikisha na ubongo wako katika kuamua. Hii sio narration tuanze kutafuta wahariri

It's true story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…