American fridge for sale

ivanaGIZ

Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
88
Reaction score
35
Habari wakuu, Friji kubwa na nzuri na bado mpya inauzwa. Upande mmoja fridge mwingine freezer pia INA water dispenser. mwenyewe anahama nchi ndio sababu ya kuuza.
1.2m
IPO tabata kinyerezi

0712623938

Dah... Nimeitaman sana sema siko dar mpaka nirud inaweza ikawa ishaondoka. Iko vizur mkuu
 
Kuna MTU atailipia kesho akizingua ntairudisha sokoni
 
Habari wakuu, Friji kubwa na nzuri na bado mpya inauzwa. Upande mmoja fridge mwingine freezer pia INA water dispenser. mwenyewe anahama nchi ndio sababu ya kuuza.
1.2m
IPO tabata kinyerezi

0712623938

Kama vipi nicheki niilipie leo!
 
kwa uchumi wa kunga unga utajaza maji tu humo labda uipeleke bar.ingekuwa Enzi zile wazee wa mujini wangeshaichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…