Amepata Upofu?

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Wana JF/Dr.'s,
Naomba kuuliza. Kuna mtoto wa ndugu yangu akiwa darasani,mwalimu alikuwa akimchapa mtoto mwingine,kijiti kidogo sana kikavunjika na kuruka,kikamuingia huyu mtoto kwenye jicho moja.
Hii ilitokea huko vijijini,ma Dr.wa hospitali za karibu wakamuwekea dawa kwenye jicho lililo athirika kama kwa week 2.
Baada ya kuelezwa tukamuomba na kumleta DSM,swali langu ni kuwa je imekuwaje huyu mtoto kupofuka na jicho la pili ambalo halikuwekwa dawa wala kuguswa-mpaka sasa bado tunapambana katika mahospitali mengi,ila naomba kuuliza kitalamu ni jambo linawezekana maana ma Dr.wote wametueleza kuwa tusubiri report.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom