queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Karibu sana kwenye ulimwengu wa Dilemma.
Tafuta wako mapema kabla hujagonga 30's.
Acha ukabila!Wana mmu habari,
Yamenikuta mie. Boyfrend wangu anatakiwa kuoa mchaga mwenzake na mie sio mchaga yaani ni sheeeeda!!!
Mchumba kapatikana uchagani na proces zote ananijulisha. Ingawa anaoa hataki tuachane. Duh! Mazito ndugu zangu. Nipen ushauri au ata pole yatosha
Fanya mpango wa kubadilisha kabila chap chap...
Watu siku hizi wanabadili hadi jinsia, nini kabila...[/QUOT
NAHISI KAMA WEWE NI MKUU WA DINI YEYOTE, FANYA HIMA UMBATIZE KABILA BASI
Yeye anaoa afu hataki muachane. Is he serious? Limeshatokea, kubali kuwa huyo si wako tena, utampata wa kwako ambaye Mungu amekuchagulia. U don't deserve to be mchepuko wa mtu. Pole sana
Karibu sana kwenye ulimwengu wa Dilemma.
Tafuta wako mapema kabla hujagonga 30's.
hehe huyo kamwaga kwa kutumia kisingizio ukabila,wengine dini,wengine distanceKatafuta njia ya kidplomasia kukumwaga.
Kwa kifupi, kwake wewe ulikuwa wa kuuzia sura kitaa, ila si wa kuoa. Keshapata wife material wake, kwako anataka abaki na copyright za kuchemsha kiporo.
Stuka!
Ndio!Acha kumpotosha dada yako we kijana....kutafuta mapema ndio nini? Mume amekuwa mtumba?