Mwanakulitafuta
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 144
- 277
Habari wakuu,dogo amesoma CBG amepata Chemistry D,Biology D na Gepgrapy B.Amepata divsion two ya point 10.Ukiachana na education kwa matokeo hayo dogo anaweza kusoma course gani? na ikikupendeza unaweza kunisaidia na chuo ninapoweza kupata hiyocourse.