Ameota nafanya nae mapenzi, ushauri wakuu

Ameota nafanya nae mapenzi, ushauri wakuu

Huyu mrembo nilikua na wazo la kumtongoza na ikiwezekana awe wangu wa maisha, na nilikua namvutia kasi, tunasali nae kanisa moja na huwa tunakutana siku za ibada na mawasiliano ya salam na chating za kawaid kwenye simu, kweli sikua na papara coz nilitaka kujitathmin kua nampenda kwa dhat na nilikua namheshim binti huyu tunaesali nae, pia na alivyo mrembo, mcheshi ilinibidi niwe na tahadhar nisijetolewa nnje nikaishia kuhama kanisa! mmmh Kukataliwa uthiombe, sasa leo asubuh wakat najiandaa kwenda kulijenga taifa ikaingia sms toka kwake tena bila salam nanukuu ''Leo nimeota unanit.....'' sikujibu akatuma tena yani hapa ntafakari raha ulizonipa ndotoni! Ushaur wenu wakuu je ndo styl yake kunitongoza na kweli anafaa kua mke au ana lake? Kumbuka hatunaga utani na sijawah mtongoza

You grow a garden you expect to be able to harvest the food from that garden and eat it.You raise a cow you expect to be able to milk that cow and consume the milk. You raise chickens you expect to gather eggs and eat them.It’s uncomplicated, simple,a fundamental right.Perhaps you wouldn’t feel this way if you lived under some other form of nchi za watoto wa mama
 
J2 mkitoka kanisani kamrande kisawa sawa. Weka mazingira sawa. Suala la kuwa mke litakuja baadae

mkuu kupita pita kwa sasa bac nataka wa njia kuu! so lazima niwaze mbele hasa kwa hawa mabint tunaosali nao sio leo unalamba kesho unatangaza mwingine
 
Amekosea namba dogo, usije ukaumbuka.. halafu huko kanisani kwenu ndo joint yenu ya kutongozana?
 
Huyu mrembo nilikua na wazo
la kumtongoza na ikiwezekana awe wangu wa maisha, na nilikua namvutia
kasi, tunasali nae kanisa moja na huwa tunakutana siku za ibada na
mawasiliano ya salam na chating za kawaid kwenye simu, kweli sikua na
papara coz nilitaka kujitathmin kua nampenda kwa dhat na nilikua
namheshim binti huyu tunaesali nae, pia na alivyo mrembo, mcheshi
ilinibidi niwe na tahadhar nisijetolewa nnje nikaishia kuhama kanisa!
mmmh Kukataliwa uthiombe, sasa leo asubuh wakat najiandaa kwenda
kulijenga taifa ikaingia sms toka kwake tena bila salam nanukuu ''Leo
nimeota unanit.....'' sikujibu akatuma tena yani hapa ntafakari raha
ulizonipa ndotoni! Ushaur wenu wakuu je ndo styl yake kunitongoza na
kweli anafaa kua mke au ana lake? Kumbuka hatunaga utani na sijawah
mtongoza

huna shukran eti je anafaa kuwa mke? kwann sasa? au kisa kakuota unamuona kicheche acha izo shauri yako utapoteza bahati
 
Kuna uwezekano hajaota kabisa hila hiyo ndio njia ya ,kuonesha ana kupenda! Kazi ni kwako!
Ni kweli hujui cha kufanya? Basi mwambie nakupenda!

Hata mimi naamini hajaota, hiyo ni gear tu ya kumfikishia ujumbe kuwa anampenda
 
Alishagundua kuwa unampenda lakini unasita. Ni njia ya kukurahisishia mchakato. We mwambie kumbe unaweza kuwa unamuwaza mtu naye huku anakuwaza. Sema hata mi nashindwa kuamini maana hata mi nilishawahi kukuota nikawa nasita kukuambia na hilo huwa halikai likanitoka kwenye fikra zangu. Naona hiyo itakuwa ni mipango ya mungu kutukutanisha. Malizia na sentensi nakupenda sana. mkionana mtakuwa mnaongelea hatua nyingine. Hata hivyo hongera in advance maana pamoja na kwamba ushafanya kosa la kuchelewa kumjibu.

nashukuru mkuu! nimekukubal
 
Mkuu, umenifanya nikumbuke wimbo wa 20 pa; unaweza ukaota unajenga nyumba angani......hizo ndoto za kitandani achana nazo....

Achana na habari ya njozi, watu huota kila siku lkn wakiamka ni ndo tuu.... Nasikitika sana kuwa unataka kuchukua hatu baada ya dada kuota, naamini ilitakiwa uchukue hatua mapema, lkn kama uko serious kuwa binti anaweza kuwa mkeo baadae, yakupasa u propose sasa.
 
chezea bahti haiji mara mbili... mtomb..... then endelea kumchunguza kama anafaa kuwa mke...
 
Mkuu usichelewe kabisa, wenzako wangekuwa wanapanga warudie tena lini game
 
Huyu mrembo nilikua na wazo la kumtongoza na ikiwezekana awe wangu wa maisha, na nilikua namvutia kasi, tunasali nae kanisa moja na huwa tunakutana siku za ibada na mawasiliano ya salam na chating za kawaid kwenye simu, kweli sikua na papara coz nilitaka kujitathmin kua nampenda kwa dhat na nilikua namheshim binti huyu tunaesali nae, pia na alivyo mrembo, mcheshi ilinibidi niwe na tahadhar nisijetolewa nnje nikaishia kuhama kanisa! mmmh Kukataliwa uthiombe, sasa leo asubuh wakat najiandaa kwenda kulijenga taifa ikaingia sms toka kwake tena bila salam nanukuu ''Leo nimeota unanit.....'' sikujibu akatuma tena yani hapa ntafakari raha ulizonipa ndotoni! Ushaur wenu wakuu je ndo styl yake kunitongoza na kweli anafaa kua mke au ana lake? Kumbuka hatunaga utani na sijawah mtongoza

green light mkuu hiyo
 
Back
Top Bottom