Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,340
Kinapatikana bar tu sio! au mtaana! machuon na kwingineko?
Karata dume mjomba iyooo
Kinapatikana bar tu sio! au mtaana! machuon na kwingineko?
Hongera sana!
Huyu mrembo nilikua na wazo la kumtongoza na ikiwezekana awe wangu wa maisha, na nilikua namvutia kasi, tunasali nae kanisa moja na huwa tunakutana siku za ibada na mawasiliano ya salam na chating za kawaid kwenye simu, kweli sikua na papara coz nilitaka kujitathmin kua nampenda kwa dhat na nilikua namheshim binti huyu tunaesali nae, pia na alivyo mrembo, mcheshi ilinibidi niwe na tahadhar nisijetolewa nnje nikaishia kuhama kanisa! mmmh Kukataliwa uthiombe, sasa leo asubuh wakat najiandaa kwenda kulijenga taifa ikaingia sms toka kwake tena bila salam nanukuu ''Leo nimeota unanit.....'' sikujibu akatuma tena yani hapa ntafakari raha ulizonipa ndotoni! Ushaur wenu wakuu je ndo styl yake kunitongoza na kweli anafaa kua mke au ana lake? Kumbuka hatunaga utani na sijawah mtongoza
Koooh! kooooh! kooooooh! *swallows spit and goes back to bed quickly!*:sleepy::sleepy::sleepy:
Mwanaume mwenye nguvu zake kiunoni hana time ya kuomba ushauri wa ndoto nzuri kama hiyo!!!!!!!!
Uanaume wako uko wapi??????????????????
Aisee hawa ndo wapaka Poda wa siku hizi, msichana kakudondokea ati wewe unaomba ushauri duh! wonder shall never end oooh!!