Some One me
Member
- Jan 31, 2015
- 54
- 9
Naombeni ushauri wana Jamiiforums,
Mimi ni binti niliyejiajiri mwenyewe kipato changu ni cha wastani kwa mwezi niko Dar, nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye nilikuja kuachana naye tangu mwaka 2012 kutokana na sababu mbalimbali na yeye yuko hapa Dar.
Tangu tuachane hadi leo ananitafuta mara kwa mara na kuwa msumbufu katika maisha yangu, amekuwa kikwazo hadi kwa mpenz wangu mpya ambaye niliingia naye kwenye mahusiano mwaka jana mwezi mwanzoni,.
Kuanzia hapo nahisi mwenzangu haniamini sana kwasababu huyo kijana anasumbua sana, nimebadilisha no lakini anazitafuta kwa marafiki zangu wa karibu na kunipata.
Mwaka jana mwishoni alioa, mke wake yuko Mkoa mwingine na yeye yuko hapa Dar, sijui nini kimempata katika familia yake. Sasa hivi ninawaza kuwa nimtafutie wanaume mkewe ili wamsumbue pengine ataacha kunigasigasi? Ninayo namba ya mkewe.