N nkese JF-Expert Member Mar 8, 2017 3,066 2,808 Mar 26, 2017 #2 Umependeza,toka nalo uende mitaani. Ukirudi jibu utakuwa nalo.
Hechinodemata JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,483 3,327 Mar 26, 2017 #3 Kwa umri ule sidhani kama atakua na akili timamu hata kama ni pesa zake
T thatsit JF-Expert Member Mar 12, 2017 1,870 2,915 Mar 26, 2017 #5 Akili Ni nywele, Sasa Mzee Hana nywele so this means akili pia Hana
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,609 6,827 Mar 26, 2017 #6 Mbona shingo yake imetumbukia! Haya yatakuwa mambo ya 'photo-dukani'.
Mbwa dume JF-Expert Member Jan 15, 2014 5,844 9,988 Mar 26, 2017 #8 PAGAN said: Click to expand... Akili za huyu mzee hazina tofauti na bwana yule.!
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Mar 26, 2017 #9 Ha ha ha nimecheka sana Hata aliposimama hakuchaguliwa na mtu
Quinine Mwitu JF-Expert Member Oct 19, 2014 5,528 6,085 Mar 26, 2017 #10 Alafu akiombwa mtandao pendwa anawezaje kukataa!
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,782 19,329 Mar 26, 2017 Thread starter #11 Mbwa dume said: Akili za huyu mzee hazina tofauti na bwana yule.! Click to expand... Umeona eeh!