cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,772
- 5,308
Haswaaaa wala haliitaji ushauriMkuu hilo nalo unaomba ushauri. Acha uzembe basi wanaume tuwaze ishu zingine hilo lipo ndani ya uwezo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaa wala haliitaji ushauriMkuu hilo nalo unaomba ushauri. Acha uzembe basi wanaume tuwaze ishu zingine hilo lipo ndani ya uwezo wako
Aaaahhh kumbe wapo wawili hapo wewe kubalia wote alafniko njia panda...nawaza nipemde yule niliyemtamkia mwenyewe au....nimpende aliyenitamkia mwenyewe????....YUPI BORA Mkuu

chunguzaaa 


unichunguzeee bwana Yesu nakuombaa unichunguzee
maana hata wao si wanasemaga natafuta aliye bora zaidi ndio awe nae No 5 sijaelewa vizuri hapo kwenye kurudisha alaf No 2 kwwnye visa mkuu kama demu ameweza kukutamkia anakupenda ina maana anamaanisha wala hawezi kukataa kitu chochote utakachomwambia kwenye kumuomba ngono wala hatokataa lazima tu atampa ili tu asiondoke kwake maana atahisi ndio kuimarisha mahusiano hayo ukisema kama ulivyosema sio sahihi kabisa anaweza akampa kwa haraka na bado upendo uko palepaleHongera kwa kupata rafiki mpya mkuu,
ushauri:
1:Wakati mwingne akipiga simu hata mara kumi usipokee, mtafute badae
Au akituma ujumbe usijibu jibu badae
2:Akikutembelea pika matembelee
3:Muombe game uone mwitikio wake
4:Akikuombe pesa msaidie lakini si kwa nia mbaya bali kama binadamu yeyote mwenye uhitaji
5:Siku nyingne mwambie kna ishu fulani ya pesa umekwama akikutumia kaa nazo siku mbili au tatu mrudishie pesa zake kwa njia ambayo hatagundua kuw unamrudishia ela zake
visa hivo vitakusaidia kumfahamu
1:kupima uvumilivu wake anapokutana na changamoto pia kupima upendo wake kama ni og au upendo wa vifurushi
2:Kupima msimamo wake kwenye mapenzi na jinsi gani anajiheshimu
lakini kama ataitikia fasta kukupa mchezo basi huyo lengo lake ni tamaa ya kimwili tu na sio kujenga familia
3:Itakusaidia kumpima kama kweli yuko tayari kukusaidia unapopata matatizo,pia itadhihirisha jinsi gani amejitoa kwako
Angalizo:Usimfanyie visa kwa kumnyanyasa kisa amekupenda bali lengo ni kutaka kufahamu yukoje
mwisho:Muombe sana Mungu wako akupe mke mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa maoni yako mkuu,,No 5 sijaelewa vizuri hapo kwenye kurudisha alaf No 2 kwwnye visa mkuu kama demu ameweza kukutamkia anakupenda ina maana anamaanisha wala hawezi kukataa kitu chochote utakachomwambia kwenye kumuomba ngono wala hatokataa lazima tu atampa ili tu asiondoke kwake maana atahisi ndio kuimarisha mahusiano hayo ukisema kama ulivyosema sio sahihi kabisa anaweza akampa kwa haraka na bado upendo uko palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Umebalehe?hapana mkuu mi nilichukua tu namba yake just as afriend