Mbona unapokea, ukijua kupokea ujue na kutoa.Sijawahi kumuomba kitu chochote bali huwa anafanya yeye kwa ridhaa yake
kaachana na mkewe kisa nini
kama humpendi kwanini unakubali kupokea vitu vyake?
Umekubali kuzitumia mali zake, nawe husiwe mchoyo kutoa vyako!!
Unapataje wakati mgumu tena na umesema haumpendi kumtafutia msichana mwingine?
Kwa hiyo ni haujalala nae, bali umemchuma pesa zake na mdogo wako kapata kazi.
Sasa mtafutie mtu nawe uwe kama umemshukuru, then omba Mungu wako asikuache akigundua ulikuwa unachuma mBaba pesa yake. Then usije juta ukiona yeye na huyo mpya maisha yao matamu no shida.
Ukimpatia mtu labda atakuwa ameshakueleza kisha cha kuachana na mke wake, muhimu kujua hata kidogo wengi hawaongeagi vya ndani haswa labda wakiamua.
Omba Mungu huyo wako umpendaye asijue, utajuta. Na acha kuendelea kumchuna mBaba wa watu, wakati unapokea misaada kwanini haukukataa hadi unaishia now kugundua. Eeeh msichana wa mjini kuchuma buzi, unalo
Habari zenu wapnz
Nina kitu kinanchanganya kidogo
Kuna baba mmoja nimemfaham kama 6 yearz ago ni mkubwa kwangu me ni kama mwananye wa kwanza hivi,,huyu baba ni mtu ana pesa nyingi na amekuwa akinisaidia na amenisaidia hata kumpatia mdogo wangu kazi katika secta nyeti sana (kifupi anajiyoa sana kunisaidia lakn nyuma ya hapo ananitaka kimapenzi(mimi nina mpenz wang ambaye nampenda)
Huyu baba kaachana na mkewe kama mwaka umepita na ananiambia anahitaji anioe kaniahidi mambo mengi sana iwapo nitakubali anioe,,
Kiukweli kutoka moyoni sijawahi kumfeel hata kidogo yan simpend kabsa hata akinisalimia sitakag hata anshike mkono namchukia akinieleza maswala ya mapenzi
Smtmz nawaza mambo ambayo amenisaidia najisikia hukumu,,lakn nifanyaje ili huyu baba aniache aache kunisumbua na asinichukie coz ctak hata aje ofisini kwangu lakn namuheshim siwez kumwambia,,anajua nina mtu lakn bado amefikia kunambia kama simtak nitafute msichana mwngne aliyefanana na mm nimpelekee amuoe amekuwa
Napata wakat mgumu sana najisikia vibaya
Nishaurin nifanyaje
Umeanza kushauri vzr ila mwisho mmm
Nimpendae nlishamwambia nae pia anamfahamu huyo baba na lengo lake analifahamu ilahajui kama alishawahi nisaidia vitu vingi!!
Huyo baba ana tabia ya kupenda penda ndiyo maana mkewe akadai talaka so n kama fataki hivi!nafikiria niwe serious nimtafutie mdada mwingne coz mm simuhitaji hata kidog
umukagame...post zako mhm!!
[h=3][/h][h=3]Maisha ya sasa hivi[/h][h=3]Inanitokea tukiwa tunataka kudu![/h]
[h=3]Nimuache au nifanyeje wadau[/h]