Ameniomba nimvishe pete

Ameniomba nimvishe pete

Mimi nimeoa nina mwaka wa tano huu na sijui pete imekaaje. Mara baada ya ndoa mama watoto wangu alinunua pete 2 nzuri akanipa moja nivae, ndani ya wiki sijui hata zilipotelea wapi. Mambo ya wazungu haya sisi wapi na wapi @Tushfutshtar mkuu wewe endelea kuchunguza tu kwanza na huku ukisema na moyo wako, watoto wa kwenye mitandao hawa wana tabu sana kuwa makini mkuu
Nashukuru sana mkuu, best comment kwa kweli!
 
Hello! Jf members

Bila shaka hamjambo sana na kwa wale wenye changamoto tuzidi kumtegemea Mwenyezi Mungu na kujibidisha katika kujijenga!

Kama kichwa cha habari kisemavyo , juzi kati nilikuja na Uzi wenye kichwa kilichosema "TUMEKUTANA WHATSAPP TUKAPENDANA HASWA!" kwa kweli maendeleo yetu ni ya hali ya kawaida licha ya kuwepo minato (usumbufu) fulani wa kimahusiano, hasa kutoka kwa mwenzangu huyu wa kike! Ni mambo ya kawaida katika mahusiano. But all in all ni kuwa amenambia nimvishe Pete !

Sio kwamba sifahamu Pete maana ake n nn, na ni kwa lengo gan lakini alama yangu ya kujiuliza ipo kwenye "yeye mwenyewe kuomba nimvishe pete" sasa naomba kwa wale walio na uzoefu na haya mambo je hii nayo ni sehemu na haki ya mpenz kuomba kuvishwa Pete ?je italeta maana halisi ya Pete ikiwa ni Pete ya kuomba avishwe! Au ni mtego fulani anataka anikamate mapema kabla sijamshtukia japo anadai hii ndo itampa uhakika kwamba niko serious na mahusiano! Najiuliza mwenyewe je yote nayofanya kwake mahitaji ya kimahusiano haoni kama ni UPENDO kweli had nimvishe Pete?

Naomba wazorefu mnipe hints hapa ,tafdhari,( sio wote) kwa wale wa kukebei kama huna kuchangia is better ukatunza mda wako, chaji ya simu yako na kufanya kazi zingine kuliko Ku comments negatively,
Huyo ni Malaya alieshindikana baada ya kutafta mtuu wakumuekaa mjini sasa anaonaa kaptaaa lofaa Mkuu hapo kuwa makin hakuna ndoa hapo kama vip pita kushoto kila mtuu na hamsin zakee
 
Huyo ni Malaya alieshindikana baada ya kutafta mtuu wakumuekaa mjini sasa anaonaa kaptaaa lofaa Mkuu hapo kuwa makin hakuna ndoa hapo kama vip pita kushoto kila mtuu na hamsin zakee
Nimekupata mkuu!
 
Back
Top Bottom