Ameniomba elfu 50, nimemwambia nimchakate miezi miwili ndipo nimkabidhi

Sasa unamkomoa au unajikomoa?.
Mwenzio kapewa bure.
hana Cha KUPOTEZA.
Yaani hicho unachotaka kufanya ndo kazaliwa aje akifanye.
 
50,000 tshs ÷ 56 days = 893/=tshs Per Day.

Watu tunakula perdiem za 80,000 per day wengine Perdiem 893 per day.

Kwel uzuri bila akili , zitaumia sehemu za siri
Huyo ni wewe kaka, mimi sichaguagi aisee. Hata angetaka M ningempa baada ya hata miezi 7-8
 
Back
Top Bottom