Ameniomba elfu 50, nimemwambia nimchakate miezi miwili ndipo nimkabidhi

Yeah...you must pay the price (In order to get, you must give)
Upo mkuu??

Mie naamini wanaume wa dizaini hii si wakukaa nao karib au kua na uhusiano wowote. mfano wapenzi wanakua kwa relationship for a longtime asa inatokea mtu anashida asa y asimsaidie na ka kutoa si anatoaga

Asee only stupid woman can go for this
 
Back
Top Bottom