Ameninunia

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Mwenzangu kaninunia kia nimecheza chini ya kiwango. Nimebakiwa na viulizo kibao bila majibu kucheza gemu chini ya kiwango ndo anaweza awe na gubu hivi?
 
Sasa na wewe iweje ucheze mechi chini ya kiwango? Amenuna kwa sababu anahisi kuna sehemu unacheza juu ya kiwango...
 
nakupa ukweli kabisa TIQO kwamba amenuna kwakua analinganisha na kidumu chake ambacho kinamchezea juu ya kiwango halafu anakufananisha anapata hasira. kwani kule hana uhuru napo kiivyo na hapo kwako anapotegemea ni dorooooooo!
 
Last edited by a moderator:
Fanya uchunguzi wa kutosha kujirizisha kama kununa kwake sababu ni hiyo tu.
  • Mara ngapi umeshacheza chini ya kiwango
  • Mnuno umeanza baada ya mchezo huu au hata kabla
  • Mlishawahi kugombana kwa kukutuhumu una kidumu.
  • Unahisi ana kidumu?
fikiri sana TIQO kidudumtu anaweza kuwa tayari kaingia kwa mkeo. Wajanja wameshampiga pipe ya kufa mtu. Shaur yako, rudi tuition ya kungonoka uokoe ndoa kama unaipenda.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Sio mngoma huyo mshauku tuu.kwani anadhani kila mara mtu unakua na speed kama yamwanzo? ndio mana watu kama hao wanaibiwa kwa mlio tuu....kuna wakati mwengine huo mchezo wala huutaki ilobaki basi tuu..
 
KAWAIDA...huna haja ya kuripiza kisasi kwa kumnunia... wanaume huwa hatununi, tatua tatizo na tambua mwanamke uliyenaye ni wa aina gani..practice make perfect. Mwanamke kama huyo ukiweza kumpa anachotaka mahala na wakati anaotaka, hawezi kuwa na kidumu na hatokuacha wala kukununia tena. Mwisho shukuru Mungu kwa kukuonesha ishara kuwa hapendezwi na baadhi unayofanya, kuliko ungempata 'pretender'.
 
Wadau nimeanza kumfanyia uchunguzi haiwezekani anambie hivyo alafu akanuna.
 
Back
Top Bottom