Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
ahahaaa acha upambe bwana....majanga kwa kweli
ngoja nimjibie mkuu ingawa sikuwepo, unajua approach nyingine zinachekesha sana! nahisi kilichomshanganza nivile jamaa alivyojiaminisha kuwa totoz imeishaingia laini hata bila ya kuimbisha, nadhani jamaa alivyoona totoz imempigia na imeitikia wito akajump kwenye conclusion kwamba mambo tayari....
kimbembe ni pale jamaa alipoanza kumshika shika, kumwita honey na kumwambiai aingie kwenye gari, loh! akyanani nimecheka hadi basi, utadhani naona tukio zima live!!!

wee huyo ndio kafanya kweli....wee urFiki na mwanaume bila kuombwa papucchi hamna. u luking for the impossible
Ukiona hivyo ujue hizo simu na msg zina umuhimu pia.
Kukutana na wewe hakufanyi maisha yasimame.
Weka na aidii yake wazi kabisa humu...
Hakyanani nitaiweka amenikharaisha sana ntsaah!
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Haha huyu kakutana na mgegedaji!mbona mm ninae rafiki mwema tu na tumekutana hapahapa! Usikate tamaa watu wanatofautiana na si wanaume wote wapo hivo!hii ni kali ya mwaka cheriefrance ebu njoo ukatoe coment hapa