Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Naona mnatiana moyo wahanga[emoji3]Pole sana mkuu ndio maisha
Peoples come and go... Though it's too hard kumuacha aende umpendae eti.
View attachment 1740569
Naona mnatiana moyo wahanga[emoji3]Pole sana mkuu ndio maisha
Peoples come and go... Though it's too hard kumuacha aende umpendae eti.
View attachment 1740569
Huwa nakaribia kuvunja TECNO yangu nikiona uandishi wa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa kabisa,labda aliandika "xx my wng xna pexa kna ixhu naxklzia iktiki ntaktoa kdmbwi mamilox"[emoji28]
Asante sana mkuu Bugsy huu ni ukweli mtupu hawa viumbe kuwaelewa vizuri ni vigumu!Mkuu
Haina haja ya kushikilia mkaa wa Moto mkononi wakati unaendelea kukuunguza, solution kuwacha udondoke usiendelee kukuunguza.
Women are hard to understand the more you are nice to them the more unattractive you appear to them, kubali kataa ndio ukweli nakupa mfano.
Kuna mdada mmoja alishawahi kuishi na jamaa mmoja kabla ya rafiki yangu, kua nae kimahusiano.
Mwanzoni na huyo mshikaji wake wa kwanza mahusiano yalikuwa Moto Moto, baadae huyo dada ghafla alichange, jamaa alikua anaumiza kichwa Sana na huyo demu, akipiga simu hapokei, jamaa akiomba unyumba ananyimwa.
Jamaa alikua ni nice guy, Kama tunavyo aminishwa na kupewa ushauri kutoka kwa masensitive guys na women ya kwamba ukiona mwanamke anabadili gia ya hisia zake juu yako inabidi uwe nice guy ili urudishe upendo.. Mara umnunulie maua, nguo nzuri, vizawadizawadi, umpikie, umfulie ili arudishe moyo wake kwako jamaa alitekeleza kumbe ndio kwanza yule dada aliendelea kumdharau, mwisho wa siku yule dada alimtema yule mshikaji.
Ikapita miaka kadhaa, akakutana na rafiki yangu, mwanzo mapenzi pia yalikua motomoto baadae yule demu akawa anataka kumletea rafiki yangu depo Kama alizomletea mshikaji wa Mara ya kwanza, rafiki yangu akiomba unyumba Mara anaambiwa sijiskii vizuri, ohh Mara hataki... Jamaa kamvumilia Kama wiki..
Sasa Kuna siku moja jamaa alikua nae kwao, usiku.. Jamaa anaomba unyumba demu still akamwambia sijiskii vzr, rafiki yangu alicheka Sana na kutabasamu akachukua simu yake karibu, akampigia mwanamke mmoja, kamwambia alikua anataka aonane nae usiku huo...Jamaa alitoka kitandani na kuvaa nguo zake, demu alishtuka kamuuliza unakwenda wapi, jamaa akamwambia haikuhusu, naenda kumaliza shida zangu, demu alikua confused
Ile jamaa anafika mlangoni tu yule demu alimrukia na kumtunuku jamaa pale pale mavitu, toka siku hiyo yule demu Ile tabia alijirekebisha, na mwisho wakaoana na kuzaa watoto watatu, mpaka Sasa yupo nae wanaishi wote.
Kwakifupi Kuna baadhi ya wanawake wanapenda kufanya mahusiano Kama silaha, ili mwanaume awe mnyonge na kuanza kubembeleza aka Nice guy.. Kumbe sivyo hivi viumbe vinapenda rude boys.
MkuuMapenzi we acha tu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]sina hamu demu mpaka nimtumie text au nimpigie ntakufa single jamani we acha tu niwe bussy na kazi
Atakayenipenda one day atakuja kwangu ntazaa nae inshallah
sometime wana tabia za ajabu sana hawa viumbe.Mapenzi we acha tu😥😥😥😥😥sina hamu demu mpaka nimtumie text au nimpigie ntakufa single jamani we acha tu niwe bussy na kazi
Atakayenipenda one day atakuja kwangu ntazaa nae inshallah
Ukweli mchungu lakini utakaomsaidia mtoa uzi kama akiamua kuufuata.Huna pesa [emoji818]
Hujitambui [emoji818]
Bado hujakua [emoji818]
Anakudharau [emoji818]
Hakutaki [emoji818]
Wewe ni king'ang'anizi [emoji818]
Hitimisho: Huna sifa anazozitaka na ni wazi kuwa hakutaki. Endelea na maisha yako. Kwani kukublock wewe inakupunguzia nini? Usilazimishe mapenzi hasa mahali ambapo ni wazi hupendwi wala kuthaminiwa.
Yes, sisi ndio wawindajiMkuu
Ukisema uwasubirie hawawezi kuja wenyewe hivi hivi, inabidi uwafuate wanaume ss automatically ni mapredators, as long as uwe na confidence tu.
Life is circle my men
Leo hakupendi kesho anakupenda
Mwaka huu anakupenda mwaka ujao hakupendi.
So kama unampenda msubirie Atarudi. Ila kama humpendi tafuta another.
Kweli kabisanakushauri tu kwa sasa tia mkazo kwenye life yako na mikakati yako,aliyewako yupo tu huwezi jua ata umeepushwa na nini.Hivyo shukuru kwa kila jambo then move on
Bora angekuwa ana kununia lakin mpaka Kaku block hapo hupendwSijamaansha Mimi ni king'ang'anizi, nimeomba tu tafsiri ya kitendo cha yeye kuninunia
shukrani mkuunakushauri tu kwa sasa tia mkazo kwenye life yako na mikakati yako,aliyewako yupo tu huwezi jua ata umeepushwa na nini.Hivyo shukuru kwa kila jambo then move onMungu anajua kesho zetu.