Mengine yooote, nayaona kawaida na siyajadili.
Ila kubwa kuliko yote ni hili la condom hili!
Mchafukoge kiasi gani wewe, kuruhusu kuweka kiporo cha used'ndom,
Haufagii, haudeki?
Wawezahisi kakuacha kwa ajili ya wivu wa mapenzi, kumbe kakuacha kwa sababu ya uchafu wako! Yaani wewe ni mchafu wa asili, ambaye hauwezi kujirekebisha, kakupima siku nyingi kakuchoka.
Kama condom imetumika na haionekani ni uchafu, basi kuna takataka nyingi sana hatarishi kwa afya zipo chumbani humo!
Waweza kukuta makohozi, mate, vipisi vya sigara, soxy chafu kunuka zimo humohumo!
Isee! Wacha akuache akapumzike, hata hivyo kama ndivyo, mtoto wa watu kakuvumilia sana.