Ameniacha baada ya kukuta kondom

Ameniacha baada ya kukuta kondom

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari za kazi wakuu,

kwanza napenda kutoa uzi huu nikiwa na majonzi makubwa kweli, kwani mahusiano yangu yamevunjika kizembe sana japo kuna wakati najipa moyo kuwa ni ujasiri... Mpenzi wangu aliaamua kuondoka kwao baada ya kukuta Kondomu iliyotumika chumbani kwangu. Huwa anasafiri mara kwa mara ndipo nipo shetani aliponivuta mkono nikaomba game kwa dada mmoja ambaye ni mpangaji mwenzetu na hii ndio chanzo baada ya kuisahau kuitupa, Lakini bado najiuliza kwanini asingenisamehe na kunipongeza kwamba nimetumia kinga? itakuwaje akipata mchepukaji ambae hatumii kinga?

Wito wangu ni kwamba bado nampenda na ndio maana nilikumbuka kinga hivyo kama ananisikia arudi nyumbani nipo tayari kuhama ile nyumba.
 
Unataka kuhalalisha michepuko kwa sababu ya Condom!!
Hicho kitendo cha kijasiri ambacho unajisifia akikifanya mpenzi wako utakubaliana na matokeo?

Halafu siyo kila mwanaume lazima achepuke watu kama nyie mnatakiwa kuwa na mtu mmoja, kama unasahau hata kufuta ushahidi wa makosa yako unachepuka ili ugundue nini?
 
Mkuu, huyo mpenzi wako hakuwa na upendo kwako tena. Yaani namaanisha alikuwa hakupendi tena, na kwa maelezo yako nalazimika kuamininkwamba alikuwa anakusuribia apate tu sababu ili akuache.
Kwasasa haupaswi kujuta kabisa kwasababu hili kosa ni dogo sana nikilinganisha na makosa ambayo nimewahi kuyafanya mimi.
Ebu usijilaumu wala kujutia, amini kwamba muda wa yeye kukuacha ulikuwa umefika na wala usijaribu kujutia kwamba umeachika kizembe.

Kwa leo naomba niishie hapa
 
Wewe ungekuta Lady pepeta iliyotumika chumbani kwa manzi yako ungempongeza kwa kujilinda?
 
umeachwa kizembe sana!

condom umeshatumia baada ya kuitupa unaiweka kama makumbusho?

usilalamike kizembe wewe enendelea na mpangaji wenu alafu safari nyingine usitumie condom nenda kavu
 
Endelea na mpangaji hapo kakupa nafasi au furusa yakujinafasi mkuu
 
Unataka kuhalalisha michepuko kwa sababu ya Condom!!
Hicho kitendo cha kijasiri ambacho unajisifia akikifanya mpenzi wako utakubaliana na matokeo?

Halafu siyo kila mwanaume lazima achepuke watu kama nyie mnatakiwa kuwa na mtu mmoja, kama unasahau hata kufuta ushahidi wa makosa yako unachepuka ili ugundue nini?
Dah ulimkosea sana demu wako, bora ungepiga kavu yote haya yasingetokea
 
Habari za kazi wakuu,

kwanza napenda kutoa uzi huu nikiwa na majonzi makubwa kweli, kwani mahusiano yangu yamevunjika kizembe sana japo kuna wakati najipa moyo kuwa ni ujasiri... Mpenzi wangu aliaamua kuondoka kwao baada ya kukuta Kondomu iliyotumika chumbani kwangu. Huwa anasafiri mara kwa mara ndipo nipo shetani aliponivuta mkono nikaomba game kwa dada mmoja ambaye ni mpangaji mwenzetu na hii ndio chanzo baada ya kuisahau kuitupa, Lakini bado najiuliza kwanini asingenisamehe na kunipongeza kwamba nimetumia kinga? itakuwaje akipata mchepukaji ambae hatumii kinga?

Wito wangu ni kwamba bado nampenda na ndio maana nilikumbuka kinga hivyo kama ananisikia arudi nyumbani nipo tayari kuhama ile nyumba.
Aisee, hapa hotelini kuna mdada kaacha sidiria chumbani kwangu ngoja nikaitupe.
 
Mkuu, huyo mpenzi wako hakuwa na upendo kwako tena. Yaani namaanisha alikuwa hakupendi tena, na kwa maelezo yako nalazimika kuamininkwamba alikuwa anakusuribia apate tu sababu ili akuache.
Kwasasa haupaswi kujuta kabisa kwasababu hili kosa ni dogo sana nikilinganisha na makosa ambayo nimewahi kuyafanya mimi.
Ebu usijilaumu wala kujutia, amini kwamba muda wa yeye kukuacha ulikuwa umefika na wala usijaribu kujutia kwamba umeachika kizembe.

Kwa leo naomba niishie hapa
Wewe ukimfumania au kukuta comdom used nyumbani kwa mpenzi wako utamsamehe?
 
Nitakusamehe mpenzi, na hiyo itanifanya niamini kwamba unacheza salama na sote tupo salama. Mwahhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom