Amemwambia kimila hawezi kumuoa

Amemwambia kimila hawezi kumuoa

mwanamperuzi

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
65
Reaction score
18
Kaka kamwambia dada hawezi kumwoa kwa kuwa koo yao haichangamani na ya dada, sasa kaka anaendelea kumwita dada romantic names....how this comes?? Seriously!! Kaka ashamwambia dada sasa naona utafute tuu mtu ambaye atakuoa...mm hapana as family hai agree....and evry day he text her...calling her d, swty,,hny...daoe this sound!!!!
 
Amemtaftia sababu tu
 
Never walk alone!!
Ila mm nina walk alone!!!!

Napita tu...........
Wakuu,

kaka na dada kwel laana hua tunajitakia wenyewe...
 
Vyote nimejitahidi kuvielewa ila ulipo malizia "daoe this sound!!!" nimechemsha. Ina maana gani hiyo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom