Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,058
- 16,927
Mawazo yako waachane, lakini ndiyo kashamsamehe tayariKitu kina na ushahidi kabisa bado unakaza shingo
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
La kufanya huna
Mawazo yako waachane, lakini ndiyo kashamsamehe tayariKitu kina na ushahidi kabisa bado unakaza shingo
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Masanja ni Mnyaki.Kuna makabila ya kuyaamini lakini sio mangosha, yaani amemenyewa tena kiustadi mkubwa, uno la kimama mchungaji kiasi kwamba mpaka mtumishi aliyekuwa akizagamuana naye ameshindwa kuendelea kuishi kama kipimo cha kwamba kile alichokuwa anapewa ni kitamu kuliko uhai.
Lakini bwana ndugu kaishia kukata rufaa na kuona bora liende tu. Ni upofu gani huu, na kwa pisi gani palee daaaaah?!
Cc Zero.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Masanja ni mhehe
Sana sana atajinyonga tu
Mbona wengine wanasema ni mtu was ludewa
Ni Mbena.Sio msukuma uyo
🤣🤣🤣Ni Mbena.
Ww leta uthibitisho ni msukum
Masanja achangiwi yule ni fight anapesa yule hachana na masanja kabisaTumuombee sisi waumini wake kweli, mbona akitaka gari asemi tumuombee anasema tumchangie
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Aje akujibu vyemaMku unazungumzia issue ya Masanja na mke wake

Hakunaga Mnyaki wa hivyo....!Masanja ni Mnyaki.
Maamuzi ni nini? Au ungependa maamuzi yaweje? Kuwa mtu mzima basi, acha utoto kudhani unachokitaka wewe ndio sahihi.Kumenyewa na kuchukua maamuzi kuna umri mkuu?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Upo sahihi sana sanaHakunaga Mnyaki wa hivyo....!
Asili yake ni Mbarali, Ubaruku huko.
Kumbuka Mbeya kuna makabila mengi sana tu.
Unaijua mbususu wewe mkuu ikikutana na mkuyenge mkubwaNi sawa ikipigwa maji inakuwa brand new,tatizo hata mkeo unakuta watu wanakula Ila inakuwa Siri,hata ukiachana naye utaoa wangapi na utaacha wangapi?
Mkuu uko dunia ya ngapi?Wakuu mbona mnaleta hii story kana kwamba wote tunaifahamu!?
kwani kuna habari gani?