Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
- Thread starter
- #41
Ni mchagaSio msukuma uyo
Sio msukuma
Kila mtu anabunia kabila lake, why?Hata hivyo sio msukuma ni mbena anaitwa imanuel mgaya
Anaitwa Emmanuel Mgaya.
Labda mama mchungaji anafuga nyuki kwenye pambaja zake .na asali aitoayo ni zaidi ya hii ya kawaidaKuna makabila ya kuyaamini lakini sio mangosha, yaani amemenyewa tena kiustadi mkubwa, uno la kimama mchungaji kiasi kwamba mpaka mtumishi aliyekuwa akizagamuana naye ameshindwa kuendelea kuishi kama kipimo cha kwamba kile alichokuwa anapewa ni kitamu kuliko uhai.
Lakini bwana ndugu kaishia kukata rufaa na kuona bora liende tu. Ni upofu gani huu, na kwa pisi gani palee daaaaah?!
Cc Zero.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app