Amembaka,akamnyonga ,akafa

Amembaka,akamnyonga ,akafa

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Ni huko Tarime kwa Wakurya.

Marehemu alikua ana miaka 13 tu.

Amekutwa amebakwa,amevunjwa paja na shingo na amefariki dunia.

Jamaa aliyeonekana mala ya mwisho na Marehemu Amekimbia na anatafutwa.

Polisi wanamsaka mtuhumiwa.

chanzo:RFA_Matukio.
 
Yaani kuna watu wanatakiwa wafungiwe asylum wasiachiwe watembee hovyo mitaani.
R.I.P marehemu.
 
OMG.......i can feel how she was feeling that time......It's so sad!!!!!!!!!






Wakurya jamani
 
Huyo jamaa hata adhabu ya kunyongwa ndo anastahili
 
Vijana wengi wa tarime bange zinawasumbua sana
 
bangi zinawaharibu sana wanafikia hatua ya kuua wanawake hovyo
 
so sad
muuaji adhabu inayomfaa ni kifo
auawe kwa kukatwa vipande vipande
yaani wanaanzia kukata kiganja,then mguu,kiganja,mguu,halafu wanakata paja..yaani mtuhumiwa anatakiwa afe akijiona hivi hivi..na maumivu makali ayasikie vile vile
 
Watu wa hili kabila sio bure, they have a serious problem, trust me! RIP mtoto ukiyekatiliwa, lol!
 
so sad
muuaji adhabu inayomfaa ni kifo
auawe kwa kukatwa vipande vipande
yaani wanaanzia kukata kiganja,then mguu,kiganja,mguu,halafu wanakata paja..yaani mtuhumiwa anatakiwa afe akijiona hivi hivi..na maumivu makali ayasikie vile vile

hahahaa hiyo adhabu yako imenifanya nicheke.......

ingawa situation iliyomtokea huyo bint ni ya kusikitisha
 
huyo jamaa anatakiwa kukatwa kichwa mbele ya wana kijiji/mji ingekuwa hapa dar es salaam angeletwa kariakoo then wamchinje kama kuku mbele za watu iwe fundisho:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Dunia ina mengi, ila mengine yanatisha na kuogopesha pia. Pole kwa ndugu za marehemu.
 
Back
Top Bottom