prenge
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 218
- 277
Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.
Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu.
NB: Wajomba muwe na huruma.... Maisha magumu sana..
Pole ndugu yangu najua unanisoma hapa.