Amekiri kunisaliti, anaomba nimsamehe

kura siri ya MTU ata ww Nina wasiwasi ulimpigia magufuli afu unamsumbua mwenzio
 
Embu acha ujinga... Unataka kugombana na mpenzi wako kwa sababu ya vitu vya kipumbavu? Kila mtu ana uhuru wa kumpigia kura kumchagua kiongozi yoyote amtakaye.
 
Mamsapu nilimfungia ndani, maana tulikuwa hatuelewani kabisa!....nikaona ataleta usaliti tu..ckuwa na jinsi zaidi ya kumfungia chumba cha ndani hadi saa kumi nikamtoa exile..
 
Mamsapu nilimfungia ndani, maana tulikuwa hatuelewani kabisa!....nikaona ataleta usaliti tu..ckuwa na jinsi zaidi ya kumfungia chumba cha ndani hadi saa kumi nikamtoa exile..

Nimecheka kweli, aisee kwale ulitumia jkt yako vizuri
 

Piga chini huyo boyah fasta mkuu!
 
sasa kwani wee hujui kuwa mpango wa kweli wa uumbaji ni mbele kwa mbele..!? au unajitia wazimu uhalalishe mbele kwa nyuma..!?

:majani7:😛eace::msela:

fundichupi!!!! Hahaha haha hizi ID nyingine!
 
Last edited by a moderator:

Kama amekiri na ameomba msamaha ni vizuri sana. coz kuna wengine wanakosea then wanakauka tuu. so me nakushauri msamehe coz hakuna aliekamilika chini ya jua. jifunze kusamehe 7X70
 
Sikutegemea mtoa mada angepata support kwa ujinga aliouleta.
 

Wewe naona unaleta story baada ya uchaguzi kuisha sio. Lakini kupigia kura upande anao utaka ni haki yake kidemokrasia, mtu mwenyewe mpenzi tu, hata kama angelikuwa mkeo angeweza kufanya lolote na asikuambie maana kwenye sanduku la kura alikuwa mwenyewe.

Nadhani hii inatakiwa kukaa jukwaa tofauti na hili, ni mtizamo tu.
 
Sikutegemea mtoa mada angepata support kwa ujinga aliouleta.

Watanzania tulishaambiwa tunatakiwa kupimwa akili "Mch Peter Msigwa" Mb Iringa mjini, japo tunakiwa pia kuanza naye kwanza.
 
Sikutegemea mtoa mada angepata support kwa ujinga aliouleta.

Huu ni ujinga sio, ila kupanga foleni ya kulala chini mhimbili ndio uelevu. Think of what i was trying to show sio hicho unachokiona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…