Alipeleka prank kwa mtu ako depression akalimwa! huyu.anadhani kila mtu anajua jokes kuna wengi wetu wako depress vibaya sana so achunge hata mimi asinifikie coz the way my heart is broken nataka mtu wa kutoa stress kwake
Safi. Wenzao siku hizi wamejua hivo, wale wanaowafanyia plunk wanakua ni watu wao ambao tayari wamesha wapanga. wanakua wanaigiza tu.. wamebaki hawa wajinga wanajifanya wanataka reality show. Wacha magumu yawakute tu.. Hakuna namna mkuu