Amekatwa uume

Amekatwa uume

Yani pamoja na kumkata,bado hakuridhika akataka amlishe kabisa!!! Au alihisi ataikota ili akaiunganishe hospitali? Hii adhabu ingekua nzuri zaidi kama mbakaji asingekufa, yani aishi bila hicho kiungo ktk maisha yake yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukuona wale vijana wa somalia walibaka mtoto wakamuua,mbele ya jaji walikatwa uume wao wote watatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini tusimlaumu kabisa muuaji, kama ni kweli kabisa jamaa alibaka binti yake wa miaka mitatu mi naona ni sawa kabisa alichofanya, tena hiyo haitoshi!
 
Naona mnasikitika mtoto wa miaka mi3 kubakwa, inaonesha kubaka si kosa kutegemea na umri wa anayebakwa au? Tukemee vitendo vya ubakaji bila kujali umri wa anayebakwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukilibaka lishankupe linalojiachia matako nje lenye miaka 30 utalinganisha na malaika wa miaka mitatu ambaye baba/ mama yake wapo nae benet wakimlea mwana wao kwa uoendo wa hali ya juu, hivi unaona hivyo vitendo vina uzito sawa?
 
Haikua na haja ya kukiacha kibakio kwan hyo tabia n ya muda mrefu ma asingeacha
 
Back
Top Bottom