Amejileta mwenyewe sasa mimi sina msaada nae

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Nipo zangu tu gheto nimelala tayari kuna kiumbe amejipendekeza,
Leo nilipanga nipumzike baada ya kuchoka na mtanange wa jana lakini wapi,

Saa kumi na mbili natumiwa sms na demu simjui kumbe nilikuwa na Namba yake kitambo ila sikuitilia mkazo,
Baada ya kuona sina mpango nae kaamua kujileta kwa kujifanya Amenimisi sasa mimi sina msaada nae,

Nasubiria Muda tu.
 
Mkuu hujacrop Nmba za simu mabaharia wataishi nae huyo mnc hutoamin[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hujacrop Nmba za simu mabaharia wataishi nae huyo mnc hutoamin[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli mabaharia sio watu wazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…