Wanajamvi juzikati nilikuwa arusha mitaa ya kaloleni pale mrina bar nikakutana na kitu cha ajabu sana. Ni lidada lililo jaaliwa, nikalipia huduma , sasa tulipofika uwanjani nikakuta limejichora alama ya X kwenye mapaja yote mawili, sikujali sana tukaendelea na starehe (nilitumia kinga) sasa sijajua mpaka leo zile alama zina maana gani, nijuzeni wakuu.