Amejiajiri kama Serikali itakavyo lakini...

Jimmy George Sanga

Senior Member
Joined
Jan 28, 2022
Posts
134
Reaction score
251
Habari za wakati huu wakuu,

Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi kikubwa ulipelekea kuamini ule msemo wangu kwamba kwa Tanzania hii elimu sio dili, jamaa alikua ana akili balaa sema ndo ivo tu sasa hivi anatembeza ubuyu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na watu wa aina yetu sisi.

Tuliokimbia shule kitambo lakini saivi angalau nasi tunamiliki funguo ya chumba. Sijisifii ila huo ndo ukweli hata wewe apo unaesoma huu uzi kama umefika elimu ya juu jilinganishe uwezo wako kimaisha na yule ulie mwacha darasa la saba ni Mbingu na Ardhi.

Jamaa kwa jina anaitwa Jimmy, ni muhitimu wa kozi ya ualimu katika masomo ya jiografia na kiswahili (EGK) 2021. Katika moja ya chuo kilichopo visiwani. Ni kijana alietoka katika familia ya wakulima, akipata mkopo wa serikali wa 50% ambao amekua akijilipia ada pamoja na kusaidia nyumbani kwao.

Baada ya kuhitimu masomo yake akaamua kuomba nafasi katika shule mbalimbali kwa kujitolea ili aweze kuongeza uzoefu ili zikitokea nafasi sehemu awe na uzoefu fulani, lakini wahenga husema "Ng'ombe wa maskini hazai, akizaa kitoto kinakufa" ndo kitu kilichomtoke kwani mpaka wakati huu hakuna jibu lolote toka kwenye shule alizoomba kijana huyu, mpaka inafika mahali anakata tamaa ya kuendelea kufanya maombi hayo.

Kwa sasa kijana huyu ameamua kujiajiri kwa kuuza ubuyu pendwa wa visiwani, mtamu na mzuri kama sifa zilivyo za ubuyu ule wa visiwani, akiuza kwa kuutembeza mitaani mwingine anajumlisha kwa watu wengine. Amekua na soko la kuridhisha kidogo kwa kuwa umetokea kupendwa sana mjini mafinga, jambo kubwa ambalo linampa mtihani ni mtaji wake kuwa mdogo.

Hivyo ukiwa kama Mama, Baba, Kaka, Dada anaomba kwa hali na mali umsaidie mawazo, ushauri ni jinsi gani anaweza kukuza biashara yake na ili aendelee na biashara hiyo kwani ndoto za kuajiriwa ni kama vile zimekufa acha za kujitolea ndo kabisa

Anachukua ubuyu ndoo ndogo 3@20000/=
Usafiri kutoka visiwani hadi mkoani 20000/=
Vifungashio pamoja na label. 15000/=

Jumla hutumia 95000/= na hupata 115000/= ambapo faida huwa 20000/=

NAWASILISHA

KWA USHAURI NA MAWAZO
Screenshot_20220219-224947~2.jpg
IMG-20220124-WA0002.jpg
IMG_20220131_214752_896.jpg
 
KWA USHAURI NA MAWAZO NA HATA KUMUONGEZEA KAMTAJI MCHEKI KWA NAMBA HII 0789196934View attachment 2124385View attachment 2124387View attachment 2124388
Hata mimi ningemnyima nafasi ya kufundisha shuleni kwangu, mwalimu wa kiswahili anaandika 'tafadhari?' Tena kasomea Zanzibar kulikozaliwa kiswahili!

Bora afanye biashara hiyo hiyo nadhani itamfaa zaidi kuliko kwenda kuwafundisha madudu watoto wa watu.

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ningetamani kujua kosa lake hapo ni nini
 
Siku zote failure hubaki na kinyongo kwa wale walio kuwa wanamkimbiza darasani... trust me it's a matter of time....mtu asiye na elimu kubwa maisha yake yote huishi kwa kupambana na waliosoma..
Nakubaliana na wewe na hii inatokana na nini mtu aliesoma akishayapatia maisha anakua na dharau sanaa ndo maana inapelekea washkaji waliokimbia shule kufight kama wanakufa kesho vile
 
Mkuu huyu mleta uzi sio nxio huyo huyo anaeuza ubuyu?

Awe na subira, kuoambana ndio tumeumbiwa, kutoboa ni kipengele kingine, akaze tu na asisahau kumuomba mola wake.
 
B
Siku zote failure hubaki na kinyongo kwa wale walio kuwa wanamkimbiza darasani... trust me it's a matter of time....mtu asiye na elimu kubwa maisha yake yote huishi kwa kupambana na waliosoma..kweli ipo hivo
 
Habari za wakati huu wakuu,

Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi kikubwa ulipelekea kuamini ule msemo wangu kwamba kwa Tanzania hii elimu sio dili, jamaa alikua ana akili balaa sema ndo ivo tu sasa hivi anatembeza ubuyu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na watu wa aina yetu sisi.

Tuliokimbia shule kitambo lakini saivi angalau nasi tunamiliki funguo ya chumba. Sijisifii ila huo ndo ukweli hata wewe apo unaesoma huu uzi kama umefika elimu ya juu jilinganishe uwezo wako kimaisha na yule ulie mwacha darasa la saba ni Mbingu na Ardhi.

Jamaa kwa jina anaitwa Jimmy, ni muhitimu wa kozi ya ualimu katika masomo ya jiografia na kiswahili (EGK) 2021. Katika moja ya chuo kilichopo visiwani. Ni kijana alietoka katika familia ya wakulima, akipata mkopo wa serikali wa 50% ambao amekua akijilipia ada pamoja na kusaidia nyumbani kwao.

Baada ya kuhitimu masomo yake akaamua kuomba nafasi katika shule mbalimbali kwa kujitolea ili aweze kuongeza uzoefu ili zikitokea nafasi sehemu awe na uzoefu fulani, lakini wahenga husema "Ng'ombe wa maskini hazai, akizaa kitoto kinakufa" ndo kitu kilichomtoke kwani mpaka wakati huu hakuna jibu lolote toka kwenye shule alizoomba kijana huyu, mpaka inafika mahali anakata tamaa ya kuendelea kufanya maombi hayo.

Kwa sasa kijana huyu ameamua kujiajiri kwa kuuza ubuyu pendwa wa visiwani, mtamu na mzuri kama sifa zilivyo za ubuyu ule wa visiwani, akiuza kwa kuutembeza mitaani mwingine anajumlisha kwa watu wengine. Amekua na soko la kuridhisha kidogo kwa kuwa umetokea kupendwa sana mjini mafinga, jambo kubwa ambalo linampa mtihani ni mtaji wake kuwa mdogo.

Hivyo ukiwa kama Mama, Baba, Kaka, Dada anaomba kwa hali na mali umsaidie mawazo, ushauri ni jinsi gani anaweza kukuza biashara yake na ili aendelee na biashara hiyo kwani ndoto za kuajiriwa ni kama vile zimekufa acha za kujitolea ndo kabisa

Anachukua ubuyu ndoo ndogo 3@20000/=
Usafiri kutoka visiwani hadi mkoani 20000/=
Vifungashio pamoja na label. 15000/=

Jumla hutumia 95000/= na hupata 115000/= ambapo faida huwa 20000/=

NAWASILISHA

KWA USHAURI NA MAWAZO View attachment 2124385View attachment 2124387View attachment 2124388
Kusoma na kuishia kuuza ubuyu,au kufsnya kazi za vipato vya chini,au kuzidiwa kipato na Yule uliyemzidi kiwango Cha Elimu,haimaanishi Elimu Haina maanakwahiyo wote tuwe vilaza tuishie la saba,Kuna watu huwa wanadai kwa vile Diamond aliishia la saba lakini ana pesa kuliko wale waliofika vyuo vikuu,basi Elimu Haina maana,huwa hawajiulizi ni wangapi Wana Elimu na wanamaisha mazuri na vipsto kulingnisha na wasio na elimu na wanavipato!.??
Dangote,Bill gate,Putin,tony brair,Ramaphosa! Hawa wote ni matajiri,je waliishia la saba!
 
Alikua anawakimbiza wajinga wenzake😀😀😀😀😀😀. Mtu mwenye akili darasani hawezi somea hayo masomo chuo kikuu. Angekua kasomea kitu kingine.
 
Kusoma na kuishia kuuza ubuyu,au kufsnya kazi za vipato vya chini,au kuzidiwa kipato na Yule uliyemzidi kiwango Cha Elimu,haimaanishi Elimu Haina maanakwahiyo wote tuwe vilaza tuishie la saba,Kuna watu huwa wanadai kwa vile Diamond aliishia la saba lakini ana pesa kuliko wale waliofika vyuo vikuu,basi Elimu Haina maana,huwa hawajiulizi ni wangapi Wana Elimu na wanamaisha mazuri na vipsto kulingnisha na wasio na elimu na wanavipato!.??
Dangote,Bill gate,Putin,tony brair,Ramaphosa! Hawa wote ni matajiri,je waliishia la saba!
Duh kwahiyo hapo mkuu bora kusoma au kutosoma kabisa
 
Nampongeza sana kwa jitihada zake hakika aendelee kupambana.

Marekebisho kidogo "Zanzibar Taste" siyo "Zanzibar Test" hasa kama anamaanisha "Ladha ya Zanzibar"
 
Mkuu si useme ni wewe tu

Halafu 2021 ni mapema sana kulilia ajira kama umemaliza mwaka huo utakuta kuna wenzako hata academic transcript hawajachukua si umemaliza juzi tu ume graduate November

Pambana kwanza mambo yatajipa yaani unataka umalize hapohapo upewe ajira wakati wenzako wana miaka karibu kumi kitaa
 
Back
Top Bottom