Amejiajiri kama Serikali itakavyo lakini...

Amejiajiri kama Serikali itakavyo lakini...

Mkuu si useme ni wewe tu


Halafu 2021 ni mapema sana kulilia ajira kama umemaliza mwaka huo utakuta kuna wenzako hata academic transcript hawajachukua si umemaliza juzi tu ume graduate November


Pambana kwanza mambo yatajipa yaani unataka umalize hapohapo upewe ajira wakati wenzako wana miaka karibu kumi kitaa
Nashukuru mkuu kwa ushauri nitafikisha ila toa ume- afu weka ame- itasound poa
 
Back
Top Bottom