ameishiwa mafuta

ameishiwa mafuta

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
jamaa alitoka zake ulaya na bonge la dogi jike ,akawa analicare vibaya mno,kila siku majirani wanamuona jamaa anamsafisha mbwa wake na kumpaka mafuta maalum,siku moja mbwa akatoweka ktk mazingira ya kutatanisha,jamaa akahaha huku na kule kumtafuta
jamaa🙁anamuuliza jirani yake)"e bwana umemuona mbwa wangu?"
Jirani:"nimemuona mtaa wa pili pale anavutwa na mwenzake,atakuwa ameishiwa mafuta"
 
Back
Top Bottom