Amefukuzwa shule, tufanyeje?

Amefukuzwa shule, tufanyeje?

Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha.

Its government school ambayo kawa expelled
shule za serikali utaratibu huwa ni siku 90 ndiyo unajifukuza mwenyewe,
Vinginevyo Muulize vizuri
 
Ikiwezekana mchape viboko 8 vya nguvu,pale parade mbele ya wanafunzi wote, aache usharobaro wa kijinga
 
Ni fairness tu. Kama unajamaa mkuu wa shule au mwalimu wa nidhamu uliza.
Kuna shule zingine wanafunzi wanatumia simu free..kama niliyosoma mimi ila sheria ni ukikamatwa unafukuzwa..

Huyo dogo aambatane na mzazi akaombe msamaha yakishindikana maana kuna walimu wanaaa aombe barua ya uhamisho kuna shule nyingi atapokelewa
Kwel hilo n jambo zur, atoke mkubwa mmoja aambatane na dogo.
Wakamuombee msamaha tu naamin watamkubalia
 
Ata ukimuulza ata kudanganya tu.
Mim ni mwanafunz na natambua tabia zao, bora ukawaulze walimu wenyew waliomfukuza
 
atakuwa kafukuzwa sababu za bangi maana madogo wa cku hizi micharuko
 
Kama walim-suspend mara mbili ni wazi walimu watakuwa wamechoka na huyo dogo.Bado tena akatoroka mara mbili.Akakamilisha na kuvuta kwa wezi mmoja duh!Ni wazi huyo dogo hapendi shule.
Mnamlazimisha tu na pia anaharibu wengine.
Zungumzeni naye vizuri anataka nini huenda mkaokoa gharama kwa kumpeleka mahali anapopataka.
 
Taja jina la hiyo, inawezekana kukawa na walimu wake humu JF wakupe maelezo zaidi. Kwani hakupewa barua ya kufukuzwa? Barua itakuwa inaeleza kosa alilofanya
 
Alikuwa hajui siku ambayo shule inafunguliwa? Kulikuwa na sababu ya kukaa nyumbani muda wote huo kama vile kuugua etc!?

Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha.

Its government school ambayo kawa expelled
 
Back
Top Bottom