Amefanya na babu yake

Amefanya na babu yake

Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.

Nimeamin ng`ombe hazeeki......

attachment.php
 
Hakuwa Kapuya huyo?
 
Hebu acha watu wale raha zao,,, huyo binti alilalamika???? vyuoni wako mpaka wake za watu.
 
Ngoja nami nifanye yangu. mambo ya ngoswe.......
 
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.

Nimeamin ng`ombe hazeeki......

sasa kama akiwa babu inamaana haruhusiwi kufanya mapenzi, acha wivu wewe dogo mwenye kisu kikali ndio anakula nyama.
 
Kama hakuona tabu yy mjukuu babu aonetabu ya nini,kwani hujui Kama mtu mzima dawa?
 
Chuki, wivu na unafiki ndio vinavyowasumbua. Kama wamekubaliana wewe kinakuuma nini? wewe hata kama mnalingana miaka na mke /mpenzi wako kama ni kulinganisha basi hata yeye anaweza kuwa dada yako. Yeyote yule unaweza kumlinganisha na aidha na mama, bibi au dada yako.
 
Wewe umejuaje kuwa miaka yake 68 huo ndiyo umbea tunaita.

usikurupuke kuchangia, mtoa uzi alikaa akafikiria na kuandika hivyo na wewe jipe muda wa kutosha wa kusoma sio kukurupuka na kuonyesha ujinga wako. Mtoa uzi ameandika "mzee wa kama miaka 68"
kiherehere cha kuchangia cha nini, kwani unalipwa?
 
Mwacheni huyo Mzee ka-PUYA afirigise kwani ni kimoja tu hoi,
Bint anakunja mkwanja anarudi bwenini TTC
Ninyi vijana mnataka mchimbue mpaka mzikute firigisi
ili kumkomoa v3 na bado ukamtangaze Bwenini
acheni wenye kisu kikali wachinje (wanyongwe na vitoto)
Waziri mvuta Kiko (RIP) alipelekeshwa km bawa la Helkopta asubuhi chali (Eti pressure) shinikizo la katoto chezeya weye
 
Back
Top Bottom