ameenda mtoni kunywa maji!!"

ameenda mtoni kunywa maji!!"

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Ticha alitoa assignment;wanafunzi wachore ng'ombe anakula nyasi,kwenye karatasi nyeupe.

Kesho yake akaanza kuzunguka darasani akiangalia vile wanafunzi walivyochora.

Akafika kwa dogo mmoja akapata karatasi bado nyeupe hajachora kitu;

Ticha:"Mbona hujachora?"

Dogo:"Sir,nimechora ng'ombe anakula majani."

Ticha:"Sasa mbona hakuna majani hapa?"

Dogo:"Ng'ombe amekula yote."

Ticha:{kwa hasira}"Na huyo ng'ombe mwenyewe yu wapi!...mbona simuoni?"

Dogo:"Majani yalivyoisha si ng'ombe akaondoka...ameenda mtoni kunywa maji!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom