Amebadilika baada ya kumpa penzi

skiza Grande, ukiona sio mgongaji, jua ni shoga au senior member wa chaputa au hana dushe
 
kwavyovyote vile najua utaachana nae maana dalili tayari, nnachokushauri mimi fatilia kwanini amekupotezea ivyo kwa haraka, labda kuna mahali ulikosea wakati wa sex, either show mbovu ama arufu, kama hakuna tatizo basi move on.
 
kaacha manyoya aisee pole sana. Ni maisha wanayopitia wengi, chukulia kawaida
 
huo ndio ukweli ,
Ndivyo mnavyowadanganya baadhi ya wanawake ili wawaache mchepuke kwa amani eti nao wanaamini uongo wenu basi muwaoe hao hao wanaokubali kudanganyika ili hata wakiwafumania wao ndiyo waombe msamaha
 
Sasa unanilazimisha niamini uongo wako au??
Yaani wewe mwanamke unajidai unawajua wanaume wote nje ndani.
Unajidanganya sana bibie, hasa linapokuja swala la feeling za kimapenzi.
Hizi feeling za kimapenzi ni ngumu kueleweka na mtu mwingine na inakuwa ngumu zaidi mtu wa jinsia fulani kuelewa za jinsia tofauti na yake. Ni kama vile mwanaume atake kujua mwanamke anavyoingiziwa dushe anajisikiaje zaidi atabaki kuhisi hisi labda inakuwa hivi lakini uhalisia halisi anaujua mwanamke tu.
Hata ukiwa na mabwana 7 uwezi uka conclude eti unawafahamu wanaume
 
Sasa nani hapa kaongelea maswala ya kujua kuwa wanaume au wanawake wanajisikiaje wakifanya tendo la ndoa? Mimi nimeongelea tabia za wanaume wengi kitu ambacho kinaonekana na tabia ni kama ngozi haijifichi!

Kwahiyo ninaongelea mambo ninayoyaona kila siku kwa wanaume wengi kwenye jamii hayo mengine mimi sijayaongelea! Na hata hivyo kati ya yote niliyoyaongea kuhusu wanaume wengi kwani kuna ya uongo?
 
Haya radicals kwa kauli kama hizi mnataka tusemaje kuhusu wanaume??

Ninalotaka kusema ni kuwa ukitaka kuheshimiwa, basi jiheshimu na husiwe daladala ambalo mlango wake unafunguliwa kila abiria anayetaka kuingia.
Kufuli ni muhimu kwa heshima yenu.
 
Apewe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…