Anataka kujaribu uanaume wako huyo wewe mkazie tuHuyu binti simuelewi, baada ya kunikasilikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake,
Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba,
Hahahahhahha anakutisha tuu.ila kama anujua udhaifu wako.basi kariri mwishowe anakuachia magonooooAnataka kujaribu uanaume wako huyo wewe mkazie tu
Huyu jamaa nae mchafuzi sana acha tu aliwe kichwahahahahhahha.anakutisha tuu.ila kama anujua udhaifu wako.basi kariri mwishowe anakuachia magonoooo
Unawafanya sana matusi watoto wa watu
We unaijua ndoa Mkuu?Mwambie sawa tu, kwani ndoa jambo baya mkuu??[emoji23]
Angekua kakutishia kukufanya kitu kibaya ndio ungeogopa, ila hilo we mwambie sawa tu
Kidogo umenipa ushauriWw mwambie tu kama yupo tayari kufunga ndoa na wewe baada ya miaka 20 kutoka sasa, mwambie haina shida?, Tuone reaction yake
[emoji23] mkuu acha wasiwasi hawezi lolote maana mwenye nia ya kufanya jambo hatangazi anafanya kweli tu, huyo debe tupu makelele mengi ila angekua na nia kweli uzi ungekua wa "MCHANGO WA HARUSI" maana Angelipua tu bila vitisho
Alafu kweli mkuu, itakuwa mikwala ya mbwa tu[emoji23] mkuu acha wasiwasi hawezi lolote mwenye nia ya kufanya jambo hatangazi anafanya kweli tu, huyo debe tupu makelele mengi ila angekua na nia kweli uzi ungekua wa "MCHANGO WA HARUSI" maana Angelipua tu bila vitisho
Ila sasa waswahili husema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja [emoji23]
Unaniogopesha tena mkuuIla sasa waswahili husema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja [emoji23]
Unaweza usipigwe ndumba ukajikuta unaoa tu hapo, ukiulizwa utaanza kusema niliona ananipenda sana mpaka akajiapiza[emoji23]
[emoji23][emoji23] sasa mpaka akuambie hivyo inamaana ulim'bonya then ukaamua umteme au???
Sijamtema mkuu[emoji23][emoji23] sasa mpaka akuambie hivyo inamaana ulim'bonya then ukaamua umteme au???
Ila we farakana tu ngoja nisikupe Amani kabisa[emoji23]