pumbav mi kuna jamaa alikuwa mtoto wa pekee kwenye familia yenye uwezo mkubwa sana maeneo ya kinondoni,alioa mwanamke baada ya mwaka bila majibu ya ndoa yao manyanyaso yakaanza kwa mwanamke wakimtukana kuwa hazai na kijana wao anabidi kupata mrithi wa mali zake,bila kufaham shost ana mtoto kijijini! Mwanamke Alivyoona kero zimezidi, kampa jamaa makavu kuwa yeye anaweza kuzaa labda mwanaume we ndo huzai na kama huamini twende kwetu.wakawasha gar had morogoro.akaona mtoto! Wakapitia hospital jamaa akakutwa hana uwezo wa kuzalisha mwanamke.karibu ajipige risasi, akamsih mwanamke amfichie siri,kamjengea ghorofa moro na kuamua kuhama kwa wazaz wake kwa kosa la kumdharau mkewe"kilichofwata hapo mwanamke akamgeuzia kibao mwanaume"akamtesa km yeye alivyokuwa anamzingua!