Ambulance

Za kweli hizi, kijijini kwetu zipo na zinasaidia sana akiumwa mtu, mama wajazito wanapelekwa kujifungua pale zahanati ikiwa atashindwa kujifungua kwa mkunga wa jadi.
 
Haaha haaaa!
Picha hii imenifurahisha!
Kwetu toroli(wheelbarrow) linatumika sana kumsafirisha mgonjwa kumpeleka kunako hospitali!
We cheka tu!
 
Za kweli hizi, kijijini kwetu zipo na zinasaidia sana akiumwa mtu, mama wajazito wanapelekwa kujifungua pale zahanati ikiwa atashindwa kujifungua kwa mkunga wa jadi.

mboni punda ateseka sana?? spidi kiasi gani uwaishe mama mjamzito hospital?
 
Naona hii haitumii horse power, inatumia Cow's power.... lol!
 
mboni punda ateseka sana?? spidi kiasi gani uwaishe mama mjamzito hospital?

Vaa mawani hao ni ng'ombe na si punda cha muhimu si spidi ila mgonjwa afike salama katika mwendo mrefu.
 
mhhh!! I wish I was your presidaa ningeenda USA mara tatu tu kwa mwaka ili hao wapate hata used ambulance!!!
 
Na hii imekaaje ustaadh? Itawafaa sana Wamanga wako.

Dereva huyu hapa (anakwambia "oink! oink!"...lol!)

Za kweli hizi, kijijini kwetu zipo na zinasaidia sana akiumwa mtu, mama wajazito wanapelekwa kujifungua pale zahanati ikiwa atashindwa kujifungua kwa mkunga wa jadi.

Sasa huyo mama mjamzito akiumwa na huo uja uzito si atajifunguwa njiani kabla ya kufika huko Hospitalini? Mkuu Amanda Wacha wee naona unacheza wee
 
Naona hii haitumii horse power, inatumia Cow's power.... lol!

Kuna wakati Bunge lilipanga kununua tricycle kwa Health centres je jambo hilo mbona halijatendeka? Kweli serikali yetu kwa kudanganya wanainchi ni namba moja na sisi hakuna anayethubutu kumkumbushia mbunge wake kuhusu hii ahadi hewa au tunawasubiri kwenye uchaguzi
?
 
Hi ndo kama za kule kwetu Kasenga B'mulo. Jamani maisha bado tunayo magumu walio wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…