Ambulance za kwetu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Moja ya Ambulance za huku kwetu uswazi mtu akiugua...


 

Attachments

  • 45386_536782029705010_970147022_n.jpg
    25 KB · Views: 542
So sad..! Baada ya miaka hamsini ya uhuru ..! Huku wanoni wa nchi hii Wakishindana kununua fiii x fiii 8, na kukarabati ikulu kwa mabillions kila mwaka. So sad...!
 
Duuh. Wao wakiumwa matibabu SA, India. Kweli Watu wana dhima jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…