CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,238
Yaani askari wetu wamekosa wakushambulia au kupambana nao sasa ili kuonyesha kama wanaweza tumia silaha zao inabidi wapange kushambuliana wenyewe kwa wenyewe huku wakidanganya eti ni magaidi. Je, hao magaidi c watajambiana hawa. Bongo maigizo kila kukicha.