malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 772
..hivi wanaume wanavyokunywa pombe mpaka usiku wa manane, 7 days a week, hawaathiri malezi ya familia zao?
..je, jukumu la kutunza watoto ni la mwanamke peke yake?
inategemea kwani baadhi hunywa kwa raha na si karaha ila wapo wenye kusudi mpaka kutelekeza familia inaudhi sana na mara nyingi hawaendelei kwa kupenda sifa za kuweka heshima bar badala ya majumbani kwao.