Amber Rose

Amber Rose

kanye west na unyama wake woote anamuogopa huyo dada ka kituo cha polisi!!..ila uzuri mamtoni kila demu mzuri!!states ukiwa mbaya wewe tu... sasa huyo demu ana kitako flani hivi amazing huwezi acha kumuangalia!!
 
mkuu hi protest ni ya nn?

Wanawake wawe huru ku-express feeling zao kuhusiana na mambo ya ngono.

Na wao wawe na sauti kutamka wanataka nini, wanamtaka nani, na wanataka style gani bila kuona aibu.

Na waelezee jinsi walivyo kuwa mistreated na wapenzi wao.
 
Huyu manzi nilikua nampenda kipindi yupo na Khalifa jamaa alijua kumhandle kuliko 21 savage.

Usishangae kesho sisimizi wake wa bongo amber lulu, amber luty nao wakaiga!./
 
Back
Top Bottom