Una ndoa? maana usije ukasumbua watu wetu!wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
Una ndoa? maana usije ukasumbua watu wetu!
vyumba vya kupanga ni shilingi ngapi? unaweza ishi mbeya mjini na kufanya kazi chunya nauli ni sh ngapi kuna km ngap kutoka chunya hadi mjin, hospitali zipoje?
Wewe wilaya za mbeya si kama za dar unatumia mia nne kutoka ilala kwenda kinondoni,kule pesa ndefu huwezi kaa mbeya mjini then kazi ukafanye chunya nadhani nauli saiz inaweza ikawa elf kumi na mbili mpaka na tano,nenda chunya kuzuri tu mbonavyumba vya kupanga ni shilingi ngapi? unaweza ishi mbeya mjini na kufanya kazi chunya nauli ni sh ngapi kuna km ngap kutoka chunya hadi mjin, hospitali zipoje?