AMBAO TULIACHWA NA MABEST FRIENDS BAADA YA KUWATONGOZA TUKUTANE HAPA

Kweli, Watu wanataka kumtongoza kwa njia ya kawaida. Huyu haumtongozi direct, unaenda nae taratibu mpaka anatoa mzigo na ndipo mnakuwa wapenzi
Inategemea na kabila wengine wagumu hatr ila kuna wale wananii unapata faster
 
hii point ndo imenisaidia sana,nlikua sitongoz.nlikua nachochea urafik ad unakolea mwisho wa sku namlazmisha getho baada ya gem ananichukia na kununa zaid ya week.baada ya apo anarud kwangu kwa Kas ya 250 GB na kuniita hubby
Hahaha kabisa
 
Back
Top Bottom