Old story JF-Expert Member Jul 21, 2018 2,263 2,143 Jun 15, 2019 Thread starter #41 Pyepyepye said: Kanatoa uzoefu wa kuachwa, lakini rafiki ni wa kutengenezea mazingira ya kumegwa tu Click to expand... Kwahiyo anatakiwa aombe mwenyewe kuliwa
Pyepyepye said: Kanatoa uzoefu wa kuachwa, lakini rafiki ni wa kutengenezea mazingira ya kumegwa tu Click to expand... Kwahiyo anatakiwa aombe mwenyewe kuliwa
Kimwerymdodo5 JF-Expert Member Feb 10, 2019 2,040 3,286 Jun 15, 2019 #42 Ndio nipo kwenye hizo harakat nitaleta mrejesho nikipata muda.🙆🏿🙆🏿🙆🏿
Old story JF-Expert Member Jul 21, 2018 2,263 2,143 Jun 15, 2019 Thread starter #43 Kimwerymdodo5 said: Ndio nipo kwenye hizo harakat nitaleta mrejesho nikipata muda.🙆🏿🙆🏿🙆🏿 Click to expand... Tumia njia hapo juu zimewekwa na wataalamu wa mambo
Kimwerymdodo5 said: Ndio nipo kwenye hizo harakat nitaleta mrejesho nikipata muda.🙆🏿🙆🏿🙆🏿 Click to expand... Tumia njia hapo juu zimewekwa na wataalamu wa mambo
Pyepyepye JF-Expert Member Jan 6, 2017 1,940 3,825 Jun 15, 2019 #44 Old story said: Kwahiyo anatakiwa aombe mwenyewe kuliwa Click to expand... Hata wewe unaweza megwa tu inategemea umemkubali jamaa kwa kiasi gani
Old story said: Kwahiyo anatakiwa aombe mwenyewe kuliwa Click to expand... Hata wewe unaweza megwa tu inategemea umemkubali jamaa kwa kiasi gani
Equation x JF-Expert Member Sep 3, 2017 29,180 39,948 Jun 15, 2019 #45 Old story said: Kazeeka kwa kuzeeka au kazeeka kwa kuzeeshwa Click to expand... Inawezekana huko alikokimbilia amezalishwa halafu akakosa matunzo sahihi
Old story said: Kazeeka kwa kuzeeka au kazeeka kwa kuzeeshwa Click to expand... Inawezekana huko alikokimbilia amezalishwa halafu akakosa matunzo sahihi
Artifact Collector JF-Expert Member Mar 7, 2019 6,539 10,006 Jun 23, 2019 #46 Ndo maana mim sitakagi na sinaga urafiki na mwanamke yeyote ule