Wakuu habari za mihangaiko?
Katika maisha yako ambayo Mungu amekupa mpaka sasa Kuna mipango na mtarajio mengi sana uliyategemea kuyatekeleza kabla ya kufika umri fulani. Lakini mipango si matumizi.
Je wewe yote uliyo panga umeyatimiza?
Mimi bado sana sana kutimiza ya kwangu.
Karibuni kwa ushuhuda na ushauri..
#staysafe CORONA iphoo mleu..
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app