Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Hii imetokea huko sauzi
AMBAKA BIBI YAKE
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 amekamatwa na polisi kwa kosa la kumbaka bibi yake mwenye umri wa miaka77 huko Mhlava Cross Tzaneen Limpop.
Polisi wanasema kwamba kijana huyo alikwenda kumtembelea bibi yake weekend na kumkuta amekaa kibarazani,alimnyanyua kwa kumpiga roba ya shingo kwa nyuma huku akimburuza mpaka ndani na kumbaka kisha akatoweka. polisi walifanikiwa kumpata baada ya msako mkali tangu juzi jumapili wiki iliyoisha.
My take: Vijana wa siku hizi hawana adabu na hii ni kutokana na malezi ya kidijitali wanayoyapata kwa wazazi wao. Tujitahidi kuwalea vijana wetu katika misingi ya kidini na upendo.