Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
Jamii intelligenceNi jukwaa gani zile story za akina majigo, mzizimkavu zinapatikana maana ndo zilo nishawishi kujiunga jf
Jamii intelligenceNi jukwaa gani zile story za akina majigo, mzizimkavu zinapatikana maana ndo zilo nishawishi kujiunga jf
Iyo no1 kubadil tittle mi pia ishanishindaKama bado unasumbuka matumizi mazuri ya JF tukutane hapa
Mie ni vitu viwili naomba kusaidiwa
1. Jinsi ya Kusahihisha tittle/heading maana sioni option yake
2. Jinsi ya kuzungushia maandishi ama picha kwa kitu kama wino hivi