Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania 🇹🇿 Nchini Malawi 🇲🇼 na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023.
Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador Humphrey Polepole, High Commissioner of the United Republic of Tanzania 🇹🇿to Malawi 🇲🇼
Mapochopocho ya ki ubalozi, dhifa, cocktail parties, kushinda muda mrefu ndani ya ofisi na mialiko sherehe baada ya sherehe pia stress za kuwa mbali na makao makuu ya chama chake akipendacho vinaweza kuwa vimechangia hali unayoiona